ciliaris
8 months ago
nimesisimka kusoma maoni haya.. hapakuwa na tovuti kiswahili zingine wakati nilipifanya tovuti yangu. Nilipenda kusoma tovuti yako, nilijifunza maneno mapya kwamba sijaona kabla. Asante sana kwa maoni yako mazuri, nitataka kujifunza zaidi kiswahili.
asante sana. hata mimi nimechelewa, niwe radhi. unaweza sema "nimependa usanifu mpya wa tovuti yako" "I like the new design of your website " ningependa kuendelea kuifanya upya tovuti yangu lakini kompyuta ya mkono yangu iliharibika. nitanunua ingine lakini mpaka huo wakati. tovuti yangu imekwama. asante.